Ndugu Mteja,sasa unaweza kulipia bili yako ya
maji kwa kutumia mitandao ya simu ya Ezy Pesa na Tigo Pesa,
kwa kutumia Control number yako utayapatiwa na Mamlaka Ya Maji (ZAWA). Bonyeza hapa kwa kupata Control Number.
Lipia Bili Kupitia Bank
Ndugu Mteja,sasa unaweza kulipia bili
yako ya maji kwa kupitia mawakala wa Bank, PBZ, NBC,
CRDB na NMB kwa kutumia Control number yako utayapatiwa na Mamlaka Ya Maji (ZAWA).
Bonyeza hapa kwa kupata Control Number..
News and Events
WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI (ZAWA)
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ZAWA ,Wakiwa katika kikao cha Bodi cha robo mwaka ya kwanza 2023/2024 .
ZIARA YA BODI YA WAKURUGENZI
Bodi ya wakurugenzi na Uongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji safi wa Mazingira Morogoro (moruwasa)imetembelea mamlaka ya maji zanzibar ZAWA
WATENDAJI WA ZAWA WAKIWA KATIKA MBIO ZA MARATHONI
Mkurugenzi Mkuu zawa Eng.Dr.Salha Mohammed Kassim ,Pamoja na watendaji Wengine wa Zawa Wakiwa katika mbio za Marathon za kupinga Siku 16 za ukatili wa Kijinsia.
UKAGUZI WA VIBANDA VYA MAJI
Watendaji wa mamlaka ya maji zanzibar (ZAWA) Wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Mhandisi DKT.Salha Mohammed Kassim wakikagua vibanda vya maji vya mradi za UVIKO 19
ZIARA YA BODI YA WAKURUGENZI
Bodi ya wakurugenzi na Uongozi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji safi wa Mazingira Morogoro (moruwasa)imetembelea mamlaka ya maji zanzibar ZAWA
MKURUGENZI MKUU ZAWA ASHIRIKI MAHAFALI
Mkurugenzi Mkuu ZAWA Mhandisi DKT.Salha Mohammed Kassim akishiriki mahafali ya 18 ya taasisi ya Teknolojia Dar es Salam (DIT)