Friday , 20 September 2019
Home » Uncategorized » Tangazo la Nafasi za Kazi

Tangazo la Nafasi za Kazi

1. Afisa Mtabibu Wa Maji Daraja la II (Unguja Nafasi 1)  Sifa za Msingi za Muombaji

 1. Awe Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani za Maabara ya Maji, Mkemia wa Maji au inayolingana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

      Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza

2. Afisa Mtabibu wa Maji Msaidizi Daraja la III (Unguja Nafasi 1)

     Sifa za Msingi za Muombaji: 

 1. Awe Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu Stashahada ya kawaida katika fani za Maabara ya Maji, Mkemia wa Maji au inayolingana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

        Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza

3. Fundi MchundoUmeme Daraja la III (Pemba Nafasi 1)

     Sifa za Msingi za Muombaji: 

 1. Awe Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu Stashahada ya kawaida katika fani ya Uhandisi Umeme au fani inayolingana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

        Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza

4.  Mhandisi Usambazaji Maji Daraja la II (Unguja Nafasi 1 na Pemba Nafasi 1) 

Sifa za Msingi za Muombaji: 

 1. Awe Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Usambazaji Maji au fani inayolingana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza

5. Fundi MchundoUsambazaji Maji Daraja la III (Pemba Nafasi 2)

Sifa za Msingi za Muombaji: 

 1. Awe Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu Stashahada ya kwanza katika fani za Uhandisi Usambazaji Maji au fani inayolingana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

     Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza

6. Mhandisi Rasilimali Maji Daraja la II (Unguja Nafasi 1) 

    Sifa za Msingi za Muombaji: 

 1. Awe ni Mzanzibari
 2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani za Jiolojia, Haidrojiolojia, Maji au fani inayolingana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

       Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza

7. Fundi Mchundo Mekanika Daraja la III – (Unguja Nafasi 1)

    Sifa za Msingi za Muombaji:

 1. Awe ni Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu stashahada ya kawaida ya ufundi katika fani ya Mekanika au fani inayolingana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

      Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza.

8. Afisa Mdhibiti wa Madeni Msaidizi Daraja la III (Unguja Nafasi 2) 

Sifa za Msingi za Muombaji

 1. Awe Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu Stashahada katika fani za Uhasibu, Masoko, Usimamizi wa Fedha, au inayolingana kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

     Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza

9. Afisa Uhusiano Daraja la II (Unguja Nafasi 1)       

    Sifa za Msingi za Muombaji: 

 1. Awe Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu elimu ya shahada ya kwanza ya Uhusiano wa Umma, Uhusiano wa Kimataifa, au fani inayolingana kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza
 4. Awe na uwezo wa kupokea na kusambaza taarifa kwa haraka iwe kwa njia za kawaida au za kielektroniki
 5. Awe na uwezo mzuri wa kuandika na kuwasilisha taarifa
 6. Mwenye Shahada ya Pili ya Uhusiano wa Umma atapewa kipaumbele

10. Afisa Ugavi na Manunuzi Daraja la II (Unguja Nafasi 1)

    Sifa za Msingi za Muombaji: 

 1. Awe ni Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Ugavi na Manunuzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

     Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza
 4. Mwenye Shahada ya Pili ya Ugavi na Manunuzi atapewa kipaumbele

11. Afisa Mipango Daraja la II (Pemba Nafasi 1) 

Sifa za Msingi za Muombaji

 1. Awe ni Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uchumi, Mipango ya Uchumi, au fani inayolingana kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza.

12. Katibu Muhtasi Daraja La III (Unguja Nafasi 1)

Sifa za Msingi za Muombaji: 

 1. Awe ni Mzanzibari.
 2. Awe amehitimu Stashahada ya kawaida ya fani ya Uhazili kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Sifa za Ziada za Muombaji

 1. Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu wa kazi/nafasi anayoiomba.
 2. Awe ni mwenye stadi nyingi zitakazosaidia katika utekelezaji wa majukumu sambamba na uwezo wa kukamilisha majukumu yake kwa wakati.
 3. Awe na uwezo mzuri wa kusoma, kuandika na kuzungumza Kiswahili na Kiingereza
 4. Awe na uwezo mzuri wa ukarimu (hospitality) na kujihusisha na watu
 5. Awe na uwezo mzuri wa kutumia kompyuta

JINSI YA KUOMBA

Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-

MKURUGENZI MKUU,

MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR,

P.O. BOX 460, ZANZIBAR.

Au awasilishe ombi lake moja kwa moja katika Afisi Kuu za Mamlaka ya

Maji Zanzibar- Msikiti Mabluu./ Afisi Kuu za Mamlaka ya Maji Pemba-

Chakechake

Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi ya kazi anayoiomba, vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.

BARUA ZA MAOMBI ZIAMBATANISHWE NA MAMBO YAFUATAYO:-

 1. Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo kwa mujibu wa Kada husika.
 2. Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari “A” level/”O” level).
 3. Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
 4. Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.
 5. Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.

TANBIHI:

 1. Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progress Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
 2. Muombaji anatakiwa azingatie masharti yaliyomo katika Tangazo hili.
 3. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 09/09/2019 wakati wa kumalizika saa za kazi (saa 9:30 jioni).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *