Thursday , 17 October 2019

Recent Posts

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AFISI YA PEMBA -04/10/2019

MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR INAPENDA KUWAJUULISHA WALE WOTE WALIOOMBA NAFASI ZA AJIRA KATIKA KADA MBALI MBALI  KWA AFISI YA PEMBA KWAMBA WANATAKIWA KUFIKA KATIKA AFISI YA MAMLAKA YA MAJI CHAKECHAKE PEMBA KWA AJILI YA USAILI WA ANA KWA ANA (ORAL INTERVIEW) UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMANNE  TAREHE 08/10/2019. VILEVILE USAILI WA MAAANDISHI (WRITEN INTERVIEW) UTAENDELEA SIKU YA JUMATANO TAREHE 09/10/2019 KUANZIA …

Read More »