` Caring the customers generated by WOWSlider.com
Karibu Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA)

Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) ilianzishwa chini ya sherai ya maji namba 4 ya mwaka 2006, ni taasisi iliopewa majukumu iliyopewa mamlaka yote ya kusimamia usambazaji wa maji pamoja na kusimamia vyanzao vya maji vyote ndani ya Zanzibar.

Watu 1,161,915 wanakadiriwa kunufaika na huduma hii ya maji, hii ni kutoka makadirio ya ongezeko la watu la 3.5% lililofanyiaka na sensa ya mwaka 2002 ambayo ilionyesha uwepo wa watu 984,625. Wastani wa upataji wa maji kwa nchi nzima ni 65% kwa makadirio ya masaa 12 kila siku. Soma zaidi ...

Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu

Karibu kwenye tovuti rasmi ya Mamlaka ya Maji ya Zanzibar (ZAWA)

Zaidi kutoka kwa DG >>>

Miradi and Kazi zinazoendelea.


Mradi wa Usambazaji maji mjini na
 
Utafiti wa huduma ya kuunga maji kwa wateja
 

Taarifa na Matukio

 Mnamo tarehe 17th Sept. 2014, skimu nne za miradi ya maji vijini Unguja ilikabdihiwa kwa Mamlaka ya Maji ya Zanzibar (ZAWA). Miongoni mwa skimu hizi zinahusu wilaya za Soma zaidi...

      Soma zaidi....

     Soma zaidi...

 

 

Kipindi cha Upatikanaji wa Maji

Matukio kwenye picha

Picha zaidi

Umeona tatizo mahala?

Umegundua tatizo lolote? Uungwaji holela wa maji? Maji yanavuja kwenye pipe zetu? Je kuna watu wanafanya hujuma kwa vyanzo vya maji na mitandao ya maji? Tafadhali tunahitaji ushirikiano wako kulinda huduma zetu.

Tushirikiane zaidi

Wafanyakazi wetu

je ungependa, kuja katika ofisi zetu na kuonana na maafisa wakuu na waandamiz wetu? Pitia hapa ili kuelewa ni nani anaweza kufaa kwa mahitaji yako?

Wafanyakazi wetu